Ziara ya kihistoria ya rais Barack  Obama
Huwezi kusikiliza tena

Video:Ziara ya kihistoria ya Obama

Hii ni ziara ya nne kwa Barack Obama barani Afrika akiwa Rais.

Mwaka 2006 alitembelea Kenya akiwa Seneta, lakini hii ni mara ya kwanza akiwa Rais kukanyaga ardhi ya Kenya alikozaliwa baba yake.

Alipoingia madarakani mwaka 2009, kulikuwa na matumaini makubwa ya uhusiano kati ya Marekani na Afrika, lakini Rais Obama amefanikiwa kufanya kilichotarajiwa?

BBC Swahili inauangazia kwa kifupi uhusiano wa Obama na Bara la Afrika