Obama:atoa ahadi ya dola bilioni moja
Huwezi kusikiliza tena

Obama:atoa ahadi ya dola bilioni moja

Washiriki wa kongamano la kimataifa la ujasiriamali jijini Nairobi wamemsifu rais wa marekani Barack Obama kwa kuchangia dola billion moja kwa wafanyabiashara Afrika.

Kongamano hilo linalomalizika leo limewakutanisha viongozi wa biashara kutoka pande zote za dunia.

Mwandishi wetu Lilian Muendo anasimualia zaidi.