Huwezi kusikiliza tena

Wafanyabiashara waishtaki serikali DRC

Wafanyabiashara ya Vinyago mjini Kinshasa, wameishtaki serikali kwa kuchoma maeneo yao ya uchuuzi na kusababisha hasara.

Wafanyabiashara hao wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, wamesema wqamesababishiwa hasara ya mamilioni ya fedha.

Polisi wameliteketeza soko la wachuuzi hao, linalopakana na jengo la serikali ambalo linafunguliwa wiki hii na ambalo litakuwa na ofisi za mawaziri mbalimbali wa serikali.

Zaidi sikiliza taarifa ya Mbeleshi Msoshi kutoka Kinshasa