ILO:Watu milioni 21 duniani ni watumwa
Huwezi kusikiliza tena

Video-Watu milioni 21 duniani ni watumwa:ILO

Shirika la kimataifa la wafanyikazi linaamini kwamba kuna takriban waathiriwa milioni ishirini na moja wa biashara haramu ya kuuza watu duniani.

Ripoti ya Umoja wa mataifa ya hivi karibuni imebaini kwamba takriban nusu ya waathiriwa walilazimishwa kufanya kazi katika viwanda,mikahawa na mijengo.