Huwezi kusikiliza tena

Kumbukumbu ya Garang

Leo ni miaka kumi imepita tangu kufariki kwa kiongozi wa kundi la waasi wa SPLM nchini Sudani, John Garang.

Garang kwa miaka mingi alikuwa msituni akipambana na serikali ya Sudan, alitambuliwa kama Makamu wa Rais wa Sudan baada ya kukubaliana kusaini mkataba wa Amani. Hata hivyo Sudan kusini mwaka 2011ilitangaza uhuru wake.

Mwandishi wa masuala ya Sudan James Copnall anaangazia kwa undani harakati za kisiasa za Garang, katika ripoti inayosimuliwa na Esther Namhisa.