Huwezi kusikiliza tena

Kampeni ya amani Chuo kikuu cha Garissa

Wanaharakati nchini Kenya leo wanaanza kampeni ya siku nne katika Chuo Kikuu cha Garissa, lengo moja wapo, kutaka kifunguliwe.

Ni takriban miezi minne sasa tangu kutokea kwa shambulio la kigaidi katika Chuo Kikuu cha Garissa na kusababisha vifo vya takriban watu 150, wengi wao waliwa ni wanafunzi.

Sikiliza mahojiano kati ya Halima Nyanza na Lolani Kalu kiongozi wa kampeni hiyo.