Huwezi kusikiliza tena

Uandikishaji wapiga kura Dar es Salaam.

Tume ya taifa ya uchaguzi ya Tanzania, imeongeza muda wa uandikishaji wapiga kura jijini Dar es salaam kwa siku 4, mpaka Agost 4.

Wananchi wengi wamelalamikia uchache wa vifaa vya uandikishaji kwa mfumo wa kielektroniki BVR kwenye vituo na kusababisha vurugu na wengine kukata tamaa ya kujiandikisha.

Sikiliza ripoti ya Yusuph Mazimu.