Magufuli
Huwezi kusikiliza tena

Magufuli ajaza fomu za kuwania urais

Mgombea wa urais kupitia chama tawala nchini Tanzania CCM John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kiti hicho, akiandamana na mgombea mwenza Samia Suluhu Hassan.

Halima nyanza alikuwepo na ametuandalia taarifa ifuatayo.