Huwezi kusikiliza tena

Wanaume wana msimamo gani kuhusu uzazi?

Baadhi ya wanaume nchini Tanzania wanapinga njia za uzazi wa mpango kutokana na kutohamasika au kukosa ufahamu wa kutosha juu ya matumizi ya njia za mpango wa uzazi.