Huwezi kusikiliza tena

Muziki wa zamani bado ni lulu DRC

Wakati muziki wa kizazi kipya ukishamiri sana Nchini jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo, vijana wa kundi la SOFAD ALL STARS lenye kujaa wasanii chipukizi katika jiji la uvira wamegeukia kupiga nyimbo muziki wa zamani hasa rhumba ili kurejesha hesma ya DRC katika ulimwengu wa muziki.

Mwandisi wetu wa mashariki mwa Congo Byobe Malenga anasimulia