Wiki ya mitindo:Tunaangazia mitindo ya watu wenye miili mikubwa
Huwezi kusikiliza tena

Mitindo ya watu wenye miili mikubwa

Wiki hii wataalam wa Mitindo kutoka Afrika wamekua wakionyesha mitindo yao katika maonyesho maalum mjini London. Wanamitindo walionyesha mapambo yao. Lakini kumekua na mjadala kuhusu mitindo ya akina mama walio na miili mikubwa. Aulgah Nato ni mtaalamu wa mitindo nchini Kenya.