Taka zikiwa zimetupwa mtaani baada ya mtoto kutumia nepi za kisasa
Huwezi kusikiliza tena

Je kinyesi cha mtoto kina madhara?

Utupaji wa choo kikubwa (kinyesi) cha mtoto katika eneo husika na katika hali ya usafi ni muhimu kama ilivyo kwa kinyesi cha mtu mzima.

Kwa muujibu wa shirika la kugudumia watoto UNICEF, Tanzania inashika namba kumi kati ya nchi 38 ulimwenguni ambazo,baadhi ya jamii zake ,hasa akina mama, hazitunzi aina hiyo ya taka taka katika hali ya usafi,hali ambayo inahatarisha afya ya mtoto na familia kwa ujumla.

Regina Mziwanda anaarifu zaidi.