Nyoka akimla mwenziwe
Huwezi kusikiliza tena

Mchungaji akwepa kula panya na nyoka

Wafuasi wa chama cha Economic Freedom Fighters- EFF, mwishoni mwa wiki iliyopita, walivamia kanisa la Pastor Penuel Mnguni, wakiwa wamebeba panya na nyoka wakitaka Mchungaji huyo ale panya hao mbele ya Wafuasi wake, lakini Pastor Mnguni aliingia mitini yani alijificha hivo Hema ya Pastor huyo ilichomwa moto.

Awali mwandishi wa BBC Regina Mziwanda alizungumza na mwandishi wetu aliyeko Afrika Kusini Omar Mutasa.nikataka kujua kutoka kwake mambo yalivyokuwa.