Video:Google yazindua Alphabet
Huwezi kusikiliza tena

Video:Google yazindua Alphabet

Kampuni ya Google imeanzisha kampuni nyengine kwa jina Alphabet.

Katika hatua yake ya kujiimarisha zaidi Google itaendelea kusimamia biashara zake kama vile programu,You Tube na Android.