Mateka wa IS  Iraq wanunuliwa
Huwezi kusikiliza tena

Mateka wa IS Iraq wanunuliwa

Mfanyibiashara mmoja Iraq amewanunua mateka wa Iraq kutoka kwa jamii ya inayotishia kuangamia ya Yazidi.

Bwana huyo anasema huo ndio mchango wake katika vurugu linaloendelea nchini Iraq