Fatuma Halnur mmoja ya raia wa China anayezungumza kiswahili
Huwezi kusikiliza tena

Wachina wanaozungumza kiswahili China

Fatuma Halnur ni baadhi ya Wachina hapa wanaozungumza kiswahili pia. Fatuma, ambaye ni muislamu, ni mwanafunzi katika chuo cha Lugha za kigeni cha Beijing...John Nene amekutana na Fatuma mjini Beijing, na kwanza akamuuliza mbona ameamua kujifunza kiswahili.