Huwezi kusikiliza tena

Utamaduni wa wanawake kuoana.

Katika mila, desturi na tamaduni za makabila mengi muundo wa familia hasa ndoa hutofautiana.

Ndoa kawaida huhusisha mwanaume na mwanamke, lakini katika mkoa wa Mara, wilaya ya Tarime, Tanzania, utamaduni wa wanawake kuwaoa wanawake wenzao bado upo.

Mwandishi wa BBC ,Tulanana Bohela anasimulia zaidi juu ya muundo wa familia mbadala wa Nyumba ntobhu kubadilika na kuwa wa kisasa zaidi.