Afrika wiki hii kwa picha

Matukio muhumi yaliyotokea kote duniani kluhusu bara la Afrika kwa picha.

Wiki hii ya mwisho wa mwezi wa nane umekuwa ni mwezi ambao umekuwa na matukio mengi, has huku beijing ambako Kenya ilivunja rekodi ya kuwa taifa la kwanza barani Afrika kuwahi kuwa mshindi wa mashindano ya riadha ya dunia.

Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Mwanariadha wa Ethiopia Genzebe Dibaba baada ya kushinda medali ya dhahabu katika mbio za mita 10,000 kwa kina dada
Image caption Mkenya Julius Yego, akirusha mkuki katika mashindano ya riadha ya dunia ambapo aliweka rekodi ya kuwa mkenya wa kwanza kuwahi kushinda medali ya dhahabu katika mashindani kurusha mkuki.
Image caption Mwanariadha wa Afrika Kusini Godfrey Khotso Mokoena ambaye alishiriki katika shindano la triple jump na kumaliza katika nafasi ya 9.
Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Wachezaji wa dansi maarufu Ballet wakijiandaa nchini Afrika kusini kabla ya tamasha za dansi hiyo iliyofanyika mjini Johannesburg
Haki miliki ya picha Reuters
Image caption Vijana wakijifunza sarakasi ya mbinu za kujikinga katika mji mkuu wa Somalia Mogadishu
Image caption Mtoto akiwa katika manuwari ya jeshi la Ireland, baada ya kuokolewa katika mashua moja iliyokuwa ikisafiri kutoka Libya kuelekea Ulaya
Image caption Watoto Wachanga wakionyesha vipaji vyao katika mji wa bandari wa Benghazi