Huwezi kusikiliza tena

Rwasa aikosoa serikali ya nchi yake

Kiongozi mkuu wa upinzani Burundi, amekosoa hatua zinazochuliwa na serikali ya nchi hiyo kukabiliana na mauaji ya mara kwa mara.

Katika siku za hivi karibuni Burundi ilikumbwa na matukio ya mauaji ambapo baadhi ya watu maarufu waliuawa.

Sikiliza mahojiano maalumu kati ya Mwandishi wa BBC John Solombi na kiongozi huyo wa upinzani nchini Burundi.