Huwezi kusikiliza tena

Mipaka saba yafungwa Croatia

Nchini Croatia, Wakuu wa serikali hiyo wamefunga mipaka yake saba kati ya minane inayopakana na nchi ya Serbia katika hekaheka za kukabili maelfu ya wakimbizi wanaojaribu kuelekea kaskazini mwa bara la ulaya.