maandamano mjini prague
Huwezi kusikiliza tena

Maandamano ya nguo ya ndani

Waandamanaji mjini Prague, Jamhuri ya Czech wameondoa bendera iliyokuwa imewekwa juu ya jumba la rais na badala yake kupandisha nguo ya ndani kulalamikia utawala wa Rais Milos Zeman.