Uhuru Kenyatta
Huwezi kusikiliza tena

Kenyatta: Hatuwezi kuongezea walimu pesa

Wakati shule zote za umma na kibinafsi zikianza kufungwa kuanzia hii leo nchini Kenya, Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa serikali ya nchi hiyo haina uwezo wa kulipa nyongeza ya mishahara wanayodai walimu wanaoendelea na mgomo.

Akihutubia taifa kupitia televisheni jana, ametoa wito mgogoro huo kutatuliwa kwa amani.

Kutoka Nairobi Mwandishi wetu David Wafula ana maelezo zaidi.