Je unafahamu mchezo wa raga
Huwezi kusikiliza tena

Video:Je unafahamu mchezo wa raga

Je unajipata pekee yako wenzako wakizungumzia kombe la dunia la raga ?

Huku kombe la dunia la mchezo wa raga likiendelea,watu wengi hawafahamu sheria ya mchezo huu.

Tazama video hii inakueleza kwa ufupi jinsi mchezo huu wa mabavu unavyochezwa ima ni kufunga bao ama hata sheria za mchezo huu.

Je kwa nini mpira wa raga hutupwa nyuma ?

Je timu hufunga vipi bao ?