Westgate
Huwezi kusikiliza tena

'Wateja bado waogopa kuingia Westgate'

Ni miaka miwili tangu kutokea kwa shambulio lililoua watu 67 katika jumba la kibiashara la Westgate, Nairobi wateja bado wanaogopa kutembelea jumba hilo lililofunguliwa upya mwezi Julai mwaka huu. Mwandishi wa BBC Shaaban Ndege alizuru jumba hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo.