Huwezi kusikiliza tena

Eid Mubarak !!!!

Baadhi ya waislamu nchini Tanzania wanasherehekea Eid bila ya kuchinja mnyama kama sunna kutokana na gharama za maisha kupanda

Sikukuu ya Eid el Adha ambayo huadhimishwa kwa kuchinja mnyama kama mbuzi au kondoo.

Sikiliza taarifa ya Aboubakar Famau aliyetembelea baadhi ya maeneo ya jijini Dar es Salaam.