Mahujaji Mecca
Huwezi kusikiliza tena

Hujaji kutoka Tanzania aeleza hali Mecca

Tanzania imedaiwa kupoteza mahujaji kadhaa katika mkanyagano uliotokea Mecca. Mwandishi wetu Shadrack Mwansasu amezungumza na sheikh Abou Said Abdallah Chambea ambaye yuko mjini Mecca.