Huwezi kusikiliza tena

Muziki wa Rwanda

Nyimbo za zamani za Rwanda bado zina mvuto?.

Hili ni swali ambalo wapenzi wa muziki wa Rwanda wanajiuliza kufuatia wananchi wengi kushabikia na kuvutiwa zaidi na muziki wa zamani kuliko muziki wa kizazi kipya.

BBC Yves Bucyana na maeklezo zaidi.