Mina
Huwezi kusikiliza tena

Hujaji asimulia mkanyagano ulivyotokea Mecca

Mkanyagano uliotokea mahujaji walipokuwa wakiwa eneo la Mina, karibu na Mecca na kusababisha vifo vya watu 717 uliathiri Waislamu wengi kutoka Afrika na hasa nchi za Nigeria, Niger, Senegal na Chad.

Mwandishi wa BBC Hausa, Tchima Illa Issoufou, alikuwa kwenye eneo hilo mkasa ulipotokea na baadhi ya aliokuwa nao waliangamia.

Alisimulia yaliyojiri.