Huwezi kusikiliza tena

Matukio ya Dharura Afrika

Katika kuangalia suala zima la jinsi nchi mbalimbali barani Afrika zinavyokabiliana na hali ya dharura hasa kunapotokea majanga.BBC imekuandalia mfululizo wa makala kuhusu hali ya huduma za dharura katika jamii.

Mwandishi wetu, Hawa Kala leo anaanza kwa kuangazia wakfu mmoja ulioanzishwa kuwasaidia watu wanaojeruhiwa katika ajali za barabarani nchini Kenya