Tazama video ya chanzo cha maafa C.A.R
Huwezi kusikiliza tena

Tazama video ya chanzo cha maafa C.A.R

Vita vya kidini katika mji mkuu wa jamhuri ya Afrika ya kati mwishoni mwa juma vimesababisha vifo vya watu 25.

Maafisa wa utawala wanasema kuwa uhasama ulisababishwa na mauaji ya mwendesha boda boda muislamu

BBC Swahili inaangazia kiini cha maafa hayo ya kidini