Huwezi kusikiliza tena

Huduma za dharura ni duni Tanzania

BBC inaendelea kukuletea mfululizo wa makala kuhusu hali ya huduma za dharura barani Afrika.

Tunaangazia nchini Tanzania ambapo kumekuwa na mfululizo wa majanga ya moto ambayo husababisha vifo na kupoteza mali huku mamlaka zinazohusika zikieleza kutokuwa na vitendea kazi na wananchi kuwa na elimu duni kuhusu majanga.Esther Namuhisa ana taarifa Zaidi