Wahamiaji Ethiopia
Huwezi kusikiliza tena

Ethiopia yawasaka wasafirishaji haramu

Huku Ulaya ikiendelea kukabiliwa na idadi kubwa ya wahamiaji, Ethiopia inaendelea na msako mkali wa wasafirishaji haramu wanaowahadaa maelfu ya raia wanaotafuta maisha bora Ulaya.

Serikali inasema imewakamata zaidi ya washukiwa 200 na pia kuanza kampeni kubwa ya kuwahamasisha watu kuhusu hatari ya kujaribu safari ya kuingia Ulaya kimagendo.

Msako huo unafuatia kuuwawa kwa wakristu thelathini kutoka Ethiopia na kundi la Islamic State mwezi Aprili nchini Libya.

Mji mmoja ambao umenufaika na juhudi hizo ni Matema, Kaskazini-Magharibi mwa Ethiopia.

Mwandishi wetu Emmanuel Igunza ametembelea mji huo na