Jakaya KIkwete
Huwezi kusikiliza tena

Kikwete akizungumzia ujenzi wa barabara

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amelihutubia Bunge la Kenya na kuahidi kwamba uhusiano baina ya Kenya na Tanzania hautabadilika.

Rais Kikwete ametilia mkazo maendeleo ya kuimarisha muundo msingi wa barabara itakayojengwa kwa pamoja