#uchaguzi2015 #tanzania2015
Huwezi kusikiliza tena

Mataifa 3 ya Afrika yana uchaguzi mwezi huu

Wenyeji wa #Tanzania2015 wanajiandaa kwa #uchaguzi2015.

Ila kuna mataifa matatu ya Afrika yanayojiandaa kwa #uchaguzi2015 mkuu mwezi huu wa Oktoba.

Guinea itakuwa inachagua kiongozi mpya tarehe 11 Ivory Coast inajiandaa kwa uchaguzi mkuu tarehe 25 siku hiyo hiyo ambayo Watanzania watakuwa wanamchagua rais mpya