Huwezi kusikiliza tena

Kero za vijana na Uchaguzi Tanzania

Kuna matatizo mbalimbali yanayowakumba vijana waliojiajiri kwenye biashara ndogondogo.

Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi wameyaelezea na wanataka jinsi gani viongozi watakaowachagua wayashughulikie.

Mwandishi wa BBC John Solombi amewatembelea baadhi ya vijana waliojiajiri kwenye biashara ndogo maarufu wamachinga mkoani Mwanza ili kuangalia matatizo yao.

Sikiliza ripoti yake