Kwanini wavuvi  Zanzibar watapiga kura
Huwezi kusikiliza tena

Kwa nini wavuvi Zanzibar watapiga kura

Wavuvi kisiwani Zanzibar waliozungumza na mwandishi wetu Sammy Awami wanaelezea sababu zao za kupiga kura katika uchaguzi ujao.