Je rangi za vyama vya kisiasa zinamaana gani ?
Huwezi kusikiliza tena

Anna Mghirwa anazungumzia rangi za vyama

Huku kampeni za uchaguzi zikiendelea nchini Tanzania, kama ilivyo kwa nchi nyingi za Afrika, mikutano hupambwa kwa rangi mbalimbali za mabango, kofia, bendera na mavazi pia.

Mwandishi wetu Zuhura Yunus alikutana na mgombea pekee mwanamke kwa nafasi ya urais Bi Anna Mughwira mkoani Arusha na kumweleza maana ya rangi wanazotumia katika chama chao cha ACT ambazo ni za zambarau.

Kwa mahojiano zaidi kuhusu sera na changamoto anazopata kama mwanamke pekee zitakujia baada ya siku kadhaa.