Huwezi kusikiliza tena

Wafanyabiashara wahamasika kupiga kura

Wakati baadhi ya Majimbo ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania yametoa ruhusa maalum kwa viongozi wa kanisa hilo kuendesha ibada zao Jumamosi ya Oktoba 24 mwaka huu badala ya Jumapili ili kutoa nafasi kwa waumini wao kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, Vijana wanaofanya biashara ya kubadilisha fedha katika Mpaka unaoiunganisha Tanzania na Zambia, wamekubaliana kwa masharti maalumu kutofanya biashara yao ya kila siku katika siku ya uchaguzi tarehe 25 mwezi huu .

Mwandishi wetu Arnold Kayanda alikua maeneo ya nyanda za juu kusini mkoani Mbeya na kutembelea Mpaka wa Tunduma ametuandalia taarifa ifuatayo