Huwezi kusikiliza tena

Raia wa Congo waenzi wanamuziki wao

Mashabiki wa Muziki lingala nchini Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo wamekuwa wakifanya kumbukumbu ya mwanamuziki mashuhuri na nguli wa nyimbo za Rhumba , Franco Lwambo Makiadi.

Mwandishi wetu wa Mashariki mwa Congo Byobe Malenga alifuatilia shamra shamra hizo na hii hapa taarifa yake