Je unafahamu Maalim Seif Shariff ni shabiki timu ipi ?
Huwezi kusikiliza tena

Je unafahamu Maalim Seif Shariff ni shabiki ?

Huku siasa zikiendelea kupamba moto nchini Tanzania, wanasiasa hupata muda japo kidogo kufanya mambo tofauti.

Zuhura Yunus alimtupia swali Maalim Seif Shariff Hamad, mgombea urais kupitia chama cha upinzani cha CUF kisiwani Zanzibar akitaka kujua anapenda nini mbali na siasa.

Mahojiano zaidi kuhusu masula ya kisiasa mtayapata kupitia DIRA YA DUNIA TV, siku za karibuni.