#raiswangu:Mikocheni  Dar es Salaam
Huwezi kusikiliza tena

Mikocheni :Sifa za #raiswangu

Huku uchaguzi mkuu wa Tanzania ukikaribia vijana wa hapa Mikocheni wanatoa sifa za rais wanaotaka, Mwandishi wa BBC Kulthum Maabad anazuru mitaa ya Dar es Salaam kuchukua maoni yenu