Wamaasai wanataka fursa zaidi za biashara
Huwezi kusikiliza tena

Wamaasai wanataka fursa zaidi za biashara

Wamaasai wa Morogoro wanataka rais ajae awe na uwezo wa kutanua nyenzo za biashara nchini ili waweze kupata maendeleo zaidi