Wakulima  Iringa wanataka rais atakayewajali
Huwezi kusikiliza tena

Wakulima Iringa wanataka rais atakayewajali

Wenyeji wa mkoa wa Iringa unaosifika kwa kilimo na ufugaji wanamtaka rais atakaye wasaidia kupata mitaji ya kujiendeleza Eneza Zungwa anatuelezea changamoto anazokabiliana nazo katika shughuli yake ya kuilisha Tanzania