Je vijana wanamchango upi katika uchaguzi huu Tz ?
Huwezi kusikiliza tena

Mchango wa vijana katika uchaguzi

Je vijana wana mchango upi katika uchaguzi wa mwaka huu Tanzania?

Je, sauti yao inasikika na kuheshimiwa?

Hayo ni baadhi ya maswali yaliyojadiliwa katika kikao kati ya vijana wa Mikocheni, Dar es Salaam na mwandishi wetu Kulthum Maabad.