Huwezi kusikiliza tena

Kipanya:Vibonzo na siasa za Tanzania

Kutaka kujua zaidi kuhusu wachoraji vibonzo, Zuhura Yunus akiwa jijini Dar es salaam alizungumza na miongoni mwa wachoraji maarufu wa vibonzo nchini Tanzania hasa za kisiasa, maarufu Masoud Kipanya na mwanzo akitaka kujua huwa anafkiria nini kabla hajachora kibonzo.