Watoto katika uchaguzi
Huwezi kusikiliza tena

Je,watoto wanasemaje kuhusu uchaguzi TZ

Huku shughuli za uchaguzi zikiendelea nchini Tanzania pamoja na hamasa kubwa, kuna kundi moja ambalo tunaweza kusema kwamba uchaguzi hauwagusi moja kwa moja, nalo ni kundi la watoto ambao hawawezi kupiga kura.Hii ni kwa sababu umri wa watu wanaopiga kura ni kuanzia miaka kumi nane kwenda juu kwa mujibu wa sheria.Hatahivyo wana mawazo yao kuhusu kampeni na uchaguzi kwa jumla.Mwanahabari wetu Zuhura Yunus alizungumza na wanafunzi wawili kutoka shule ya upili ya Siera.Na mwanzo anaanza kwa kuwauliza wangependa nini kibadilike.