Joto la Kisiasa latanda tanzania
Huwezi kusikiliza tena

Joto la kampeni latanda Tanzania

Joto la kampeni linazidi kupamba moto wakati siku nazo zikizidi kuwadia. Kila kona imepambwa na bendera na picha za wagombea wanaotaka kuhakikisha wanawashawishi wapiga kura kadri wanavyoweza. Mapema leo nimepita katika mitaa ya hapa Dar es Salaam kupata kionjo tu cha hali ilivyo.