Visiwa vya Comoro
Huwezi kusikiliza tena

Je,wajua nini kuhusu visiwa vya Comoro?

Ni kwa nadra sana kwa watu kutembelea visiwa vya Comoro vinavyokaribiana na pwani ya Msumbiji. Hata hivyo kwa wakazi wake wengi, maisha ni magumu. Moja kati ya visiwa hivi vinavyojitegemea, Anzwan, kuna wasiwasi unaongezeka kati yake na kisiwa jirani kilivyofanikiwa zaidi kimaisha, kisiwa cha Mayotte, ambacho ni koloni la Mfaransa hadi leo. Zuhura Yunus alitembelea kisiwa hicho kujua, kwa nini?