Muungano wa Zanzibar na Tanganyika wadadisiwa
Huwezi kusikiliza tena

Muungano wa Zanzibar na TZ wajadiliwa

Moja kati ya mambo makubwa yaliyoibuka ni swala la muungano kati ya Tanganyika na Zanibar. Muungano huu wa miongo mitano ukizongwa na hoja za muundo na uhalali wa muungano huo. Je swala hili lina msukumo gani katika uchaguzi huu? Mwandishi wetu Sammy Awami ametembelea Zanzibar kudadisi suala hili