Wagombea watumia hotuba za Nyerere kujipatia kura TZ
Huwezi kusikiliza tena

Wagombea wamtumia Nyerere kujipatia kura TZ

Hotuba za muasisi wa taifa la Tanzania,mwalimu Julius Nyerere anayetambuliwa na Watanzania kama baba wa taifa zimetumika sana katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu. Lakini je, hotuba hizi zinatumika kwa misingi gani?.Halima Nyanza anaangazia suala hili.